Lugha za Nairobi
Nicholus Makanji na Maprofesa Rayya Timmamy na Kithaka wa Mberia, Kongamano la CHAUKIDU, Chuo Kikuu cha Pwani, Kilifi.
Lilian Chacha katika kongamano la CHAUKIDU, Chuo Kikuu cha Pwani, Kilifi, Kenya
Lucy Meigs, nyanjani, Nairobi.
Profesa Iribe, Kongamano la 54 ACAL, Chuo Kikuu cha Connecticut, Storrs.
Profesa Mutonya, Kongamano la 54 ACAL, Chuo Kikuu cha Connecticut, Storrs.
Mutonya na Iribe wakiwasilisha mradi katika Chuo Kikuu cha Howard, Washington DC
Wasilisho katika Chuo Kikuu cha Washington Mjini Saint Louis
Mazungumzo na Wakenya wanaishi St. Louis, Missouri.
Jopo la kimataifa kuenzi mchango wa Mwalimu Nyerere na Kiswahili barani Afrika.
Kongamano la CHAUKIDU, Kilifi
Baadhi ya wasomi na waandishi tajika wa Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Nairobi: Mwenyekiti Iribe, Kyalo Wamitilla, Mwaliwa, Prisca Jerono, na Mwenda Mbatiah.
Wasomi wengine wa Idara ya Kiswahili: Profesa Mbuthia Murage, Sanja, na Judy Onyancha
Iribe akiwasilisha mradi katika kongamano la ACAL, Chuo Kikuu cha Connecticut, Marekani.
Mutonya akiwasilisha mradi katika kongamano la ACAL, Chuo Kikuu cha Connecticut, Marekani.
Pamoja na wakongamanaji wa ACAL kutoka Uhabeshi na Afrika Kusini.
Makanji na Chacha pamoja na wakongamanaji wa ChAUKIDU, Kilifi, Kenya.